Huduma unazohitaji,
karibu na wewe.

MAISHA ON inakuunganisha na huduma mbalimbali kwa urahisi, haraka na kwa njia rahisi kutumia.

Huduma Zetu

Chagua huduma unayohitaji.

Picha ya huduma

Chakula

Agiza chakula kutoka sehemu mbalimbali kwa urahisi.

Picha ya huduma

Usafirishaji

Pata huduma ya kusafirisha bidhaa na mahitaji yako.

Picha ya huduma

Manunuzi

Pata bidhaa na huduma mbalimbali kutoka kwa vendors.

Mapendekezo

Huduma na biashara zinazopendekezwa.

Biashara Bora

Gundua biashara mbalimbali zinazotoa huduma bora karibu na wewe.

Huduma Maarufu

Angalia huduma zinazotumiwa zaidi na watumiaji wa MAISHA ON.

Jiunge na MAISHA ON

Panua biashara yako au pata nafasi ya kuongeza kipato.

Kwa Vendor

Weka biashara yako kwenye MAISHA ON na ufikie wateja wengi zaidi.

  • ✓ Ongeza wateja wapya
  • ✓ Pokea oda kwa urahisi
  • ✓ Simamia biashara yako
  • ✓ Hukatwi kitu
Jiunge kama Vendor

Kwa Rider

Jiunge kama rider na pata nafasi ya kuongeza kipato kupitia deliveries.

  • ✓ Pata oda za delivery
  • ✓ Chagua muda wa kufanya kazi
  • ✓ Ongeza kipato chako
  • ✓ Hukatwi kitu
Jiunge kama Rider